Hii changamoto inawafanya vijana wengi washindwe kupata mikopo kutokana na majina ya cheti cha kuzaliwa kutofautiana na form 4 huku hakuna sehemu ya kuattach affidavit hivyo uwezekano wa kupata mkopo ni mdogo sana na kama itakuwa hivi itafanya waforge hivyo vyeti na sio sahihi kama vilivyo