Pre GE2025 Mfumo wa kadi ya mpiga kura ni Digitali ila upigaji kura ni Analogi kwa nini uchaguzi CCM wasishinde

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Kadi ya kupigia kura inafanywa kidigitali sana na mpaka inajulikana zipo kadi ngapi za wapiga kura.

Ila ikifika swala upigaji kura tunaanza kuangaika na makaratasi ambayo mifumo yake inaonesha si ya kiditali kwenye matokeo mpaka haki.
 
ndivyo wanataka watawala.
 
Back
Top Bottom