Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Jul 22, 2024 #1 Kadi ya kupigia kura inafanywa kidigitali sana na mpaka inajulikana zipo kadi ngapi za wapiga kura. Ila ikifika swala upigaji kura tunaanza kuangaika na makaratasi ambayo mifumo yake inaonesha si ya kiditali kwenye matokeo mpaka haki.
Kadi ya kupigia kura inafanywa kidigitali sana na mpaka inajulikana zipo kadi ngapi za wapiga kura. Ila ikifika swala upigaji kura tunaanza kuangaika na makaratasi ambayo mifumo yake inaonesha si ya kiditali kwenye matokeo mpaka haki.
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,258 Reaction score 20,386 Jul 22, 2024 #2 ππππ noma sana
F From Meru JF-Expert Member Joined May 19, 2023 Posts 3,931 Reaction score 9,376 Jul 22, 2024 #3 Kaka yake shetani said: Kadi ya kupigia kura inafanywa kidigitali sana na mpaka inajulikana zipo kadi ngapi za wapiga kura. Ila ikifika swala upigaji kura tunaanza kuangaika na makaratasi ambayo mifumo yake inaonesha si ya kiditali kwenye matokeo mpaka haki. Click to expand... ndivyo wanataka watawala.
Kaka yake shetani said: Kadi ya kupigia kura inafanywa kidigitali sana na mpaka inajulikana zipo kadi ngapi za wapiga kura. Ila ikifika swala upigaji kura tunaanza kuangaika na makaratasi ambayo mifumo yake inaonesha si ya kiditali kwenye matokeo mpaka haki. Click to expand... ndivyo wanataka watawala.
Lim Hoo JF-Expert Member Joined Apr 20, 2020 Posts 438 Reaction score 1,031 Jul 22, 2024 #4 Hii kitu huwa inafikirisha sana