the_eye
New Member
- Jun 26, 2024
- 1
- 0
Mifumo mitatu ya kiutawala watu wengi hawajui au hujitoa ufahamu kwa sababu tu wana AMRI ya kutiisha majeshi yanayowazunguka. Wakisahau kuwa hao wanajeshi wanao walinda sisi wananchi ni ndugu zao ni kaka zao baba zao na mama zao wajomba na shangazi.
Wanajeshi, polisi na idara zote za ulinzi na usalama zimejengwa na wananchi ambao ni NDUGU ZETU SISI WANANCHI. Sasa nikusaidie kuijua mifumo hii ya kiutawala mfumo wa kwanza huitwa;
DICTATORSHIP
Huu ni mfumo wa kibabe mfumo unaoendeshwa bila kusikiliza matakwa ya kenge yeyote yule. Na madictator wengi hawaamini mtu ndiyo maana huamua kuchukua walinzi kutoka nchi nyingine mfano BURUNDI, RWANDA etc ambao hawajui hata lugha ya nchi yenu sababu wanaogopa kusalitiwa. Mfumo huu ni wa kinyama na kionevu ni mtoto wa UKOLONI wananchi huwa SLAVES kwenye Taifa lao wenyewe. Wa pili huitwa
MONARCHY
Huu ni mfumo ambao mtawala wake mkuu ni MFALME na kikawaida mfumo huu kiongozi mkuu yaani mfalme ndiye mwenye jukumu la kuwatunza wananchi wake. Mfalme ni kama baba na mama wa wananchi wote ni jukumu lake kuhakikisha wanakula na kunywa vizuri na maisha yao ni bora. Huu ndiyo mfumo Yesu alitaka makanisa yote yaufuate lakini ni mgumu so wakaupiga chini na kuasi kisha kufuata mfumo namba tatu yaani;
DEMOCRATA
Ni mfumo ambao TAIFA linakuwa chini ya WANANCHI wake kisha wananchi hao ndiyo wanachagua nani awe kiongozi wao, na atakuwa kiongozi kwa muda gani. Na ikitokea kiongozi huyo akaleta ujinga wananchi hao waliomchagua WANA MAMLAKA kimataifa ya kulindwa na Dunia nzima pale wanaposema tulikuchagua na sasa hatukutaki tena ondoka tuchague mwingine. Na kiongozi huyo anapaswa KUTII haraka sana na kuondoka
Sasa vurugu hutokea pale waliomuweka madarakani wakisema ONDOKA harafu kale kakundi ka watu wake anao kula nao kanasimama na kusema usiondoke tuwaue hawa na kuwapiga ili wengine waogope kuwafuata hapo sasa DEMOCRATA (demokrasia) inakuwa imeanguka na Taifa linakuwa chini ya WARM DICTATORSHIP sababu wananchi hawaongozwi tena kwa mapenzi yao
Taifa likifika hatua hiyo basi hakuna hatua ingine inayofuata kwa wananchi husika isipokuwa KENYA-LIZATION. Shida ni kwamba KuKenyaLize kunataka wanaume majasiri sio wanaume wanaovaa MAGAUNI. Hata paka ukimfinyia kwenye kona mpaka akaona hana jinsi ya kujiokoa huamua kupambana na wewe ama zako ama zake. Ndiko Tanzania inapelekwa kikundi cha wana CCM walionogewa na utamu wa madaraka.