SoC02 Mfumo wa kisayansi wa malipo kwa njia ya kielektroniki

SoC02 Mfumo wa kisayansi wa malipo kwa njia ya kielektroniki

Stories of Change - 2022 Competition

Emmanuel 11

New Member
Joined
Aug 17, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Mfumo wa kielektroniki wa malipo ya fedha

Mfumo wa malipo ya fedha (miamala) kwa njia ya kimtandao huu ni mfumo chanya ambao utawezaa kusaidia katika ongezeko la uchumi, pato kwa taifa, na mfumo mzur wa ulipaji kodi na kuongeza urahisi wa kufanyaa huduma kwa mtumiaji.

Lengo la mfumo ni nini? lengo ni kwamba kuwepo na mfumo ambao utatumika katika ulipaji wa nauli kwa watumiaji wa daladala na mabasi ya mikoan piah na kwenye mwendo kasii kwa kutumia mfumo wa kielectroniki ambao utahusishwa na matumizi ya malipo kwa njia ya kadi.

Mfumo huu utatumika katika mabasi yotee ikiwemo mabasi ya serikali na yaliyo binafsi.

Mfumo huu unatumikaje?? jinsi ya kutumia huuu mfuni ni kwamba mtumiaji (abilia) atatakiwaa kununua card special ambayo itakua inatumika katika kufanyia malipo jinsi ya kulipia, kutakua na vituo maalum vyaa kuuzia ticket kwa wasafiri ambapo msafiri atakua analipia kwa kutumia card kisha ataitumia hiyo card kusafiria.

Namna mfumo utavofanya kazi. abilia atakuja na card yake ambayo imekwisha kamilisha malipo tayar alaf ataingiaa kweny gari alaf konda ata scan card kuthibitixhaa malipo ya card husika

Faida za mfumo. kwanzaa kabisaa itasaidia kurahisishaaa malipo ambapo itapunguza usumbufu wa kutoa chenji, kumcherewexhaa mteja na migogoro mingine kutokana na makosa ya kihesabu.

Pia itamsaidia msafiri kununua ticket kiurahisi kwa kutumia njia ya sim na kukamilishaa malipo hataa akiwaa hana pesa keshi.

Hii itasaidia piah katikaa ulipaji mzuri kwa kodi ya serikalii hasaa katika njia ya kimtandao
Njia hiii itamsaidiaa abilia kulipia ticket kwa abilia wa mikoani bila usumbufu wa kuendaa stend yan unawezaa ukaingia kwenyee mfumo kwa kutumia sim janja (smart phone) na kuchagua sit kisha kuilipia ukiwaa nyumban na kesho kusafiri.

Hii njia n salama na ya uaminifu sababu utaepuka utapel kwa kuuziwaa tiket feki utaepuka kwenda stend mala kwa mala kununua ticket kwenye vituo vya mabasi piah itasaidia serikari kukusanya kodi kirahisi.
 
Upvote 3
Back
Top Bottom