Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,072
- 5,053
Salaam kwa wote,
Binadamu tumekuwa tukijihusisha na kufanya maombi kwa namna mbalimbali yenye malengo tofauti kutokana na mahitaji ya muhusika.
"Kuna kitu mahala hapo" nje ya uwezo wetu na namna ya kufikiri ambacho uwepo wake ama nguvu yake hauwezi kulinganishwa na kitu chochote. Tunakiongelea, Tunakihisi, Tunakiamini na kukiomba pia yawezekana bila hata ya kukielewa vizuri kwamba ni nini haswa.
Tunakiita kwa majina mengi kutokana na namna ambavyo kila mtu kwa imani yake ameweza kukiwekea "label" anayoitaka lakini kinasimama na kubakia na maana ile ile japo kuna mitizamo na mikanganyiko tofauti.
Tamaduni za kale hapa duniani zilielewa na kutambua uwepo wake katika nyanja tofauti na jinsi ya kukitumia katika maisha yao ya kila siku. Kupitia maneno na maandishi ya zamani waliacha maelekezo kwa jamii zao mbinu na jinsi ya kutumia nguvu isiyoonekana kuponya miili yetu, kustawisha mahusiano baina yetu pamoja na kuleta amani katika ulimwengu huu.
Maombi ni lugha ya Mungu na malaika wake. (Ndiyo,sisi ni malaika wa duniani)
AINA NNE ZA MAOMBI AMBAZO ZINAFANYIKA KWA WAKATI HUU ULIMWENGUNI.
Mfano katika siku (wakati wa kula,Kuamka na hata kabla
kulala)
Haya ni maombi ambayo hufanyika rasmi ili kuomba mamlaka fulani ifanyike kutokana na tukio ama uponyaji.
Kuna ya tano, iliyopotea ambayo ndiyo msingi wa uzi huu.
MAOMBI YALIYOPOTEA.
Tunajikuta tukifanya mambo tofauti ambayo baadae hutuumiza kama viumbe ambao wote tuko "connected" kwenye same quantum hologram kwa namna moja ama nyingine kwani unaposababisha maafa kwa mwingine tunafikiria tunasababisha kwao "THEM" Ilihali kiuhalisia hakuna tofauti kati ya wao na sisi".
Ukizungumzia concept ya quantum hologram inaonesha kwamba sisi wote na kila mmoja wetu ni muhimu katika matokeo ya maisha yetu na ulimwengu kiujumla.
Machaguo tunayoyafanya kila wakati yanageuka kuwa majibu ya tunakumbana nayo mbeleni.
Hivyo basi kupitia quantum hologram, maamuzi tunayoyafanya sasa yanaakisiwa kwa namna yake, hivyo basi inatupasa kuishi kila kitu katika kuakisi yale tunayopenda yatokee na kutuzunguka katika maisha yetu.
Alisema mwanasayansi John Wheeler kwamba " we are tiny patches of a universe that is building itself along the way"
OUR LOST MODE OF PLAYER
Katika vitabu vya zamani vya kikiristu na Gnostic vimeandika kuhusu hili.
Mfano ukiangalia katika tafsiri ya biblia ya kitabu cha (John 16:24) kabla ya kuwa condensed na kuhaririwa mara kwa mara utaona
"Whatsover ye ask the Father in my name, he will give it to you. Hitherto have ye asked nothing in my name: Ask and ye shall receive, that your joy may be full" --> Kwa version ya King James ila tukilinganisha na mistari halisi tutaona kwamba kuna kitu kinakosekana
"All things that you ask straightly,direct...from inside my name, you will be given.
So far you have not done this. Ask without hidden motive and be surrounded by your answer.
Be enveloped by what you desire, that your gladness be full" .
Katika maneno haya tunakumbushwa kwamba maombi si tu ni kitu tunachokifanya kwa wakati fulani katika siku, Bali maombi ni consciouness. Ikimaanisha ni hali tunayokuepo nayo kwa wakati uliopo (state of being that we are in) rather than something that we do at a certain time of a day.
Hivyo basi katika maombi inatupaswa tuhusishe milango ya fahamu, pia uhusishe nguvu ya mawazo (thought), emotion na feelings ili tupate tunachokikusudia katika maombi.
Kwa mfano; Iwapo unaomba mvua ama kitu tofauti fanya hivi,
(ukihusisha senses,emotion,feeling)
A. MVUA
- Kuwa na hisia kuhusiana na namna ambavyo mvua ilivyo,
-Hamishia mvua katika mwili wako,
-Sogea katika kuhisi ambavyo inakuwa wakati unapokua umekanyaga nje na miguu peku katika eneo lako,
- Kuwa na hisia ya harufu ya udongo pindi mvua inaponyesha mahala husika na kuwa na maono jinsi ambavyo mimea na mazao yamestawi katika eneo lako baada ya mvua.
Baada ya maombi hayo inapaswa ujihusishe katika kutoa shukhurani na appreciation yako katika maombi kwani umekua ni sehemu ya uumbaji wa mvua, kama "amen" kwa wakiristo.
Hivyo yatupasa tujifunike na kuzungukwa na majibu ya kile ambacho tumekifanya kuwa tayari tumekipata(receiving) kuliko kukaa na kusubiri miujiza itokee kwani (asking) pekee haitoshelezi katika maombi.
Simply, "Pray rain and not pray for the rain"
UTAFITI KUHUSIANA NA FEELING TOWARDS PRAYER
Mwaka 1972, Miji 24 ya marekani yaliyokuwa na watu zaidi ya elfu kumi walipata mabadiliko kutokana na maombi ya namna hii katika miji yao kwani watu mia moja katika kila mji walihudhuria maombi hayo.
Mfano mwingine katika study nyingine ya
THE INTERNATIONAL PEACE PROJECT IN THE MIDDLE EAST iliyofanyika miaka ya 1980 na ilichapishwa katika
THE JOURNAL OF CONFLICT RESOLUTION IN 1988Kipindi cha Israel-Lebanese war miaka ya 1980s, watafiti walifundisha watu kuhisi amani katika miili yao(feel peace in their body rather than simply think about peace in their minds or pray for peace to occur) kuliko kufikiria kuhusu amani katika akili zao au kuomba kwa ajili ya uwepo wa amani.
Katika siku maalum za mwezi na saa maalumu watu waliwekwa katika maeneo yaliyoharibiwa na vita.
Katika kipindi walichoendelea na maombi hayo shughuli za kigaidi zilipungua kama sio kusimama, vitendo vya uhalifu zilipungua, idadi ya wagonjwa mahututi walipungua hospitali, ajali za barabarani pia zilipungua kwa kiasi kikubwa.
KILICHOTOKEA BAADA YA WATU KUACHA KUFANYA RESEARCH HII NA KU EXPRESS PEACE FEELINGS, TAKWIMU ZILIGEUKA NA KUWA KAMA WAMEFUNGULIA BOMBA LA MAOVU.
Tafiti hizi zinaonesha matokeo kuwa "wakati ambapo idadi ndogo ya watu walikua wanakuwa na amani ndani yao the peace was reflected back to the larger community.
Ilibidi tafiti nyingine ifanyike kuhusu ni kwa kiasi gani ama namba ipi ya watu wanahitajika ili waweze kuleta amani katika eneo husika, ili amani hiyo iwarudie watu wote kwa ujumla. Ikafamika kuwa ni square root ya asilimia moja ya watu wote.
Mfano katika mji watu milioni moja wanahitajika watu 100 ili kuomba amani.
Hivyo basi hii inaonesha maombi hayambadilishi Mungu Bali Sisi tunaomuomba, pia kabla ya kuhoji Ni nini kinatokea duniani yatupasa tujitathmini kwamba ndani yetu ni nini kinaendelea kwani,
"the spiritual mirror of the Mind of God that reflects back to us what we've become in our thoughts, feelings, emotions, and beliefs.
In other words, our inner experiences of hurt and fear, as well as those of love and compassion, become the theme for the kind of relationships that we find in our jobs and friendships, as well as our expressions of abundance, and even our health"
Swali: JE,WEWE UNAOMBA KWA NAMNA GANI?
ukiuliza swali hili wengi tutakujibu kwamba tunarudia sala tofauti tofauti. Lakini yatupasa tuwe na namna ya kuongea na Mungu, universe, infinite intelligence (you label it the way you can) namna ambayo inaeleweka na itajibika.
kwa mfano ;
Mungu alimwambia musa namna ambayo waisraeli wanapaswa kumuomba,
"May Yahweh bless you and keep you.
May Yahweh let his face shine on you and be gracious to you.
May Yahweh show you his face and bring you peace."
Kisha akamalizia kwa kusema,
"This is how you must call down my
name . . . and then I shall bless them."
Simply, talk to the universe the language that it understands.
Nawasilisha,
Karibuni wadau wote.

- 1. Colloquial prayer
- 2. Ritualistic prayer
Mfano katika siku (wakati wa kula,Kuamka na hata kabla
kulala)
- 3. Petitionary prayer
Haya ni maombi ambayo hufanyika rasmi ili kuomba mamlaka fulani ifanyike kutokana na tukio ama uponyaji.
- 4. Meditative prayer
Kuna ya tano, iliyopotea ambayo ndiyo msingi wa uzi huu.
MAOMBI YALIYOPOTEA.
Tunajikuta tukifanya mambo tofauti ambayo baadae hutuumiza kama viumbe ambao wote tuko "connected" kwenye same quantum hologram kwa namna moja ama nyingine kwani unaposababisha maafa kwa mwingine tunafikiria tunasababisha kwao "THEM" Ilihali kiuhalisia hakuna tofauti kati ya wao na sisi".
Ukizungumzia concept ya quantum hologram inaonesha kwamba sisi wote na kila mmoja wetu ni muhimu katika matokeo ya maisha yetu na ulimwengu kiujumla.
Machaguo tunayoyafanya kila wakati yanageuka kuwa majibu ya tunakumbana nayo mbeleni.
Hivyo basi kupitia quantum hologram, maamuzi tunayoyafanya sasa yanaakisiwa kwa namna yake, hivyo basi inatupasa kuishi kila kitu katika kuakisi yale tunayopenda yatokee na kutuzunguka katika maisha yetu.
Alisema mwanasayansi John Wheeler kwamba " we are tiny patches of a universe that is building itself along the way"
OUR LOST MODE OF PLAYER
- 5. Feeling