kobosir
Member
- Jan 10, 2013
- 30
- 24
Huu mfumo naona hauko sawa tangu Jana. Nimefanya malipo mara mbili lakini maelekezo yanayotoka ya jinsi ya kupata document hayako sawa na ninachokiona lakini bill inaonekana haijalipwa na mbaya zaidi nanba zao zote 0736 121 266 na 0736 121 268 hazipatikani.
Shida ni nini?
Shida ni nini?