zacha
JF-Expert Member
- Feb 28, 2009
- 1,205
- 1,880
EDPOS ni mfumo uliotengenezwa na vijana wa Kitanzania ambao upo mahususi kwa ajili ya kusimamia biashara yako. Biashara ambayo inawezwa kusimamiwa na huu mfumo ni kama vile: -
Maduka Makubwa (Super-market)
Duka la Dawa (Phamarcy)
Duka la Vifaa vya ujenzi (Hardware)
Duka la Vinywaji (Liquor Store)
Mfumo huu una kuwezesha kufahamu na kufanya haya yafuatayo: -
Kuuza (Sale) Mfumo huu unakuwezesha kuuza bidhaa yako uliyo nayo dukani kwa kutumia kifaa tambuzi (barcode scanner). Pia unauwezo kupokea malipo yalifanyika kwa tigo pesa, halopesa, Mpesa, bank n.k
Kufahamu idadi ya mzigo ulionao dukani (Stock Control), itakuwezesha kufahamu bidhaa gani zimeuzwa kwa siku, itakupa faida ya kila bidhaa iliyouzwa na idadi ya bidhaa zilizobakia kwenye ghala au dukani.
Itakupa taarifa ya mauzo ya kila siku (Sale Report) Mfumo huu utakupatia taarifa kwa mauzo ya siku, wiki na mwezi.
Utakupa Tahadhari (Alert), utakupa tahadhari hasa kwenye bidhaa zinazokaribia kuisha muda wake (expire) pia utakupa tahadhari kwenye bidhaa zinazokaribia kuisha dukani.
Kwenye kutoa risiti, mfumo huu uko integrated na efd machine, ukiwa na huu mfumo utaweza kuprint efd risiti kupitia printer hiyo hiyo ya tra.
Ukinunua huu mfumo tutakupatia mfumo wa kufyatua "barcode" hasa kwa zile bidhaa ambazo hazina barcode. Utaweza kutengeneza barcode zako ambazo utaziweka bei na jina la duka lako.
Kwa Mawasiliano:
0222807850
Email: info@edcom.co.tz / www.edcom.co.tz