Mfumo wa malipo kwa mawakala wa makampuni ya mawasiliano

Mfumo wa malipo kwa mawakala wa makampuni ya mawasiliano

fasi dwasi

R I P
Joined
Sep 23, 2018
Posts
105
Reaction score
108
Hopeful mpo njema wadau. .

Hoja yangu au swali langu ni hivi...

Kwa mtu mwenye exposure ya uelewa juu ya namna ya mfumo wa ulipaji kwa mawakala wa mitandao ya mawasiliano especially kwa yule wakala anaetoa huduma za utoaji na uwekaji wa fedha km vile TIGOPESA, M PESA, AIRTEL MONEY na pia kama khs haya makampun y ving'amuz km vile star times, azam

Naweza kuelimishwa juu ya mfumo wao wa malipo upo vipi?

Najua kama wanalipa kwa commission sasa nataka kujua commission ya asilimia ngap na kwa kampuni gan?

Kama kuna benefits zingne za ziada

Karibuni wadau kwa msaada
 
Back
Top Bottom