mfumo wa matangazo ya biashara kenya

mfumo wa matangazo ya biashara kenya

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
sio kuwa nawadharau wabongo lakini kiukweli kwenye ishu ya matangazo ya biashara kenya wako vizuri mno. Matangazo yao ni mafupi yanayovutia na kuleta ujumbe Maridhawa. Si vibaya tukaiga kilicho kizuri kwa faida yetu wenyewe
 
nakuunga mkono mdau naangalia ntv na citizen tv jamaa wako vizuri sana kwe hiyo nyanja
 
Back
Top Bottom