Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Feb 16, 2014 #1 sio kuwa nawadharau wabongo lakini kiukweli kwenye ishu ya matangazo ya biashara kenya wako vizuri mno. Matangazo yao ni mafupi yanayovutia na kuleta ujumbe Maridhawa. Si vibaya tukaiga kilicho kizuri kwa faida yetu wenyewe
sio kuwa nawadharau wabongo lakini kiukweli kwenye ishu ya matangazo ya biashara kenya wako vizuri mno. Matangazo yao ni mafupi yanayovutia na kuleta ujumbe Maridhawa. Si vibaya tukaiga kilicho kizuri kwa faida yetu wenyewe
the boss13 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 422 Reaction score 215 Feb 16, 2014 #2 nakuunga mkono mdau naangalia ntv na citizen tv jamaa wako vizuri sana kwe hiyo nyanja