KERO Mfumo wa "Online Application" wa ARU hauleti "Control Number"

KERO Mfumo wa "Online Application" wa ARU hauleti "Control Number"

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,203
Reaction score
37,906
Tangu jana mfumo haurudishi CONTROL NAMBER na hivyo Applicant hawezi kuendelea na Application Process. Wahusika hawajali.
 
Na simu zao zote hazipo hewani, mm nimelipia control kupitia wakala wa kibenki, kumbe wao wanahitaji ulipie kupitia mitandao ya simu
 
Back
Top Bottom