hashimrashidy
Senior Member
- Sep 11, 2015
- 197
- 145
Nimeelewa vzr sasa*Muhimu*
1. Hakikisha upo katika internet nzuri.
2. Nyaraka ziwe katika pdf na kila moja isizidi 1Mb.
3. Mwombaji akiwa na changamoto apige simu zilizopo kwenye video manual.
4. Deadline ya kuwasilisha maombi ni 15.03.2019.
Kila la kheri
DICT TAMISEMI.
04.03.2019
BONYEZA HAPA CHINI KUPATA MAELEKEZO KWA MFUMO WA VIDEO HATUA KWA HATUA
Jana ucku nilijiregister nikaishia kwenye kuattach cha ajabu mda huu naingia nashindwa kulogin imegoma kabisa na nilibakisha kipande kidogo tu*Muhimu*
1. Hakikisha upo katika internet nzuri.
2. Nyaraka ziwe katika pdf na kila moja isizidi 1Mb.
3. Mwombaji akiwa na changamoto apige simu zilizopo kwenye video manual.
4. Deadline ya kuwasilisha maombi ni 15.03.2019.
Kila la kheri
DICT TAMISEMI.
04.03.2019
BONYEZA HAPA CHINI KUPATA MAELEKEZO KWA MFUMO WA VIDEO HATUA KWA HATUA
Napenda kurudisha mrejesho kwamba hilo tatizo limeisha, kwa sasa naiona transcript kwenye preview na ile Grade A certificate imeondolewa. AsanteMaswali mawili;
1. Kwa nini ukiattach Transcript, inakuonesha kuwa imekuwa successfully uploaded lakini ukifanya preview haionekani?
2. Kwa nini attachment ya Grade A certificate inatokea kwenye orodha ya vitu vilivyokua attached wakati hujai attach na huna kiwango hicho cha elimu, unawezaje kuiondoa?------Msaada kwenye tuta tafadhali!!
Naomba msaada tafadhali, kwa waombaji wa Ualimu Grade A, kwenye kipengele cha Academic Qualification pana shida. Cheti cha Grade A kimetolewa na NECTA, lakini panahitaji kujaza NACTE Candidate Number. Ukiandika index number ya mtihaniwa wa Ualimu unapata notification 'No data found', pengine kwa kuwa Index number imetolewa na NECTA. Msaada tafadhali nini kifanyike.Muhimu
1. Hakikisha upo katika internet nzuri.
2. Nyaraka ziwe katika pdf na kila moja isizidi 1Mb.
3. Mwombaji akiwa na changamoto apige simu zilizopo kwenye video manual.
4. Deadline ya kuwasilisha maombi ni 15.03.2019.
Kila la kheri
DICT TAMISEMI.
04.03.2019
BONYEZA HAPA CHINI KUPATA MAELEKEZO KWA MFUMO WA VIDEO HATUA KWA HATUA
View attachment 1038135
Hicho chagua kwanza kwamba hakijatolewa na NACTE ndo ujaze namba yakeNaomba msaada tafadhali, kwa waombaji wa Ualimu Grade A, kwenye kipengele cha Academic Qualification pana shida. Cheti cha Grade A kimetolewa na NECTA, lakini panahitaji kujaza NACTE Candidate Number. Ukiandika index number ya mtihaniwa wa Ualimu unapata notification 'No data found', pengine kwa kuwa Index number imetolewa na NECTA. Msaada tafadhali nini kifanyike.
Mbona ukisave inaonuesha you successifully saved. Lakini kiuhalisia hamna kilichosevikaMuhimu
1. Hakikisha upo katika internet nzuri.
2. Nyaraka ziwe katika pdf na kila moja isizidi 1Mb.
3. Mwombaji akiwa na changamoto apige simu zilizopo kwenye video manual.
4. Deadline ya kuwasilisha maombi ni 15.03.2019.
Kila la kheri
DICT TAMISEMI.
04.03.2019
BONYEZA HAPA CHINI KUPATA MAELEKEZO KWA MFUMO WA VIDEO HATUA KWA HATUA
View attachment 1038135
ULITATUA HII KITU?Mbona ukisave inaonuesha you successifully saved. Lakini kiuhalisia hamna kilichosevika
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah. Ila mbona mwishoni hamna kitufe cha send?UL
ULITATUA HII KITU?
Page ya mwisho kabisa ni preview status ya application ila mbona unakuwa kama sehem ya send hamna
Stage ya mwisho ni kuchagua mikoaPage ya mwisho kabisa ni preview status ya application ila mbona unakuwa kama sehem ya send hamna
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ukimaliza kujaza si inabidi usend infomation zako. Sasa sehm ya send ipo wapi
Sawa ukimaliza kujaza si inabidi usend infomation zako. Sasa sehm ya send ipo wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok. Ila hii kitu ilinisumbua sana. Maana nimemaliza kujaza sehm ya send nikawa siioniHakuna sehemu ya kusend ukisha save mikoa yako itakuletea successful report, kua application yako imefanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole, angalia kwene application review kuchek km ulivyoviupload vipoOk. Ila hii kitu ilinisumbua sana. Maana nimemaliza kujaza sehm ya send nikawa siioni
Sent using Jamii Forums mobile app