Omulangi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2008 Posts 1,036 Reaction score 267 Apr 30, 2008 #1 Hivi serkali za mitaa ni mvutano kati ya wanasiasa na wataalamu? Je mvutano na wakati mwingine uhasama na kutishana katika halmashauri zetu ndio kichocheo cha kuleta maendeleo sehemu zote duniani mfumo huu unapofanya kazi?
Hivi serkali za mitaa ni mvutano kati ya wanasiasa na wataalamu? Je mvutano na wakati mwingine uhasama na kutishana katika halmashauri zetu ndio kichocheo cha kuleta maendeleo sehemu zote duniani mfumo huu unapofanya kazi?