Mfumo wa shule/chuo-AMIS

Mfumo wa shule/chuo-AMIS

igon

New Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
4
Reaction score
4
Huu ni mfumo kwa ajili ya kuhifadhi kumbukumbu za wanafunzi kama malipo ya Ada,usajili na matokeo.

Mfumo huu umeunganishwa na Bank pamoja na mitandao ya simu kwa ajili ya kupokea malipo ya ada.

Pindi tu mwanafunzi anapolipia ada yake kwanjia ya Bank au kwa kutumia mitandao ya simu hapohapo malipo yanaonekana kwenye account ya mwanafunzi kwenye mfumo.

Kama unauhitaji tafadhal wasiliana nasi kupita +255713082684

1536665491068.png
 
Back
Top Bottom