Mfumo wa Super League utakavyokua huko Ulaya

Kwa maaana nyingine hii League inatunyima uhondo wa kuona Timu mpya zinazochipukia kila msimu bali tutabaki na Majina yale yale miaka nenda rudi. Perez aache Ulafi na Ubakaji wa Mpira Duniani
 
Hii itauwa EPL, La liga na Seria A. Hapana hili wazo ni baya sana tena baya team ipate ushiriki kutokana na ubora wake sio jina lake. naanza kidogo kuchukia hizi team mimi japo Liverpool ila hii hali imenikera sana kama mshabiki.
Hapa ndio walipozingua lakini kwakuwa ndo wanaanza nadhani wanalinda maslahi ya waanzilishi ila huko mbele watarekebisha
 
Weka pesa upate pesa. Nafikiri baada ya miaka 5+ timu waanzilishi não watagombania nafasi
Nalog off
 
Yani domestic league ya epl ichezwe bila vilabu vyao sita........

Hapa serikali sidhani kama watakubali huu mpango
 
Kwa maaana nyingine hii League inatunyima uhondo wa kuona Timu mpya zinazochipukia kila msimu bali tutabaki na Majina yale yale miaka nenda rudi. Perez aache Ulafi na Ubakaji wa Mpira Duniani

Huyu mzeee kiburi sijui anakipatia wapi!!!
 
Yani domestic league ya epl ichezwe bila vilabu vyao sita........

Hapa serikali sidhani kama watakubali huu mpango
Good news team zote za EPL zimejitoa jana ni habari njema kwa wapenzi wa mpira, waliingizwa mkenge na Real sababu zile timu zina madeni makubwa sana kwao na La liga hai generate pesa nyingi kama EPL kwa mbali na mbaya zaidi baada ya La liga kubadilisha mgawanjo wa pesa uwe sawa imewaumiza zaidi sasa sehemu pekee pesa ndefu UEFA CPL na hata hivyo wanaona haitoshi na madeni yanazidi, hizi badala ya kupunguza matumizi yao na mishahara wanatka kuongeza revenue tu na hii ndio maana unasikia wachezaji wakubwa nataka kucheza Real ni sababu ya mishahara mikubwa sasa madeni yamejaa vyanzo hawana. Tuone sasa wakishusha mishahara kama utasikia mchezaji nataka Real. EPL ni league tajiri duniani na hiyo league bila team za EPL ni dead.
 
Kumbe la liga kuna kibano ila kitasaidia sana kwenye ushindani miaka ya mbeleni itakua kama epl.......
 
Kumbe la liga kuna kibano ila kitasaidia sana kwenye ushindani miaka ya mbeleni itakua kama epl.......
Miaka ya nyuma La liga walikuwa team kubwa kama Barca na Real wao wanauza mechi zao wenyewe ndani ya La liga ikawa mgawanjo wa pesa unaenda kidogo team zingine 18 wao wanabeba nyingi kwa kusema team zao ndio zinfanya La liga kuwa na value, ni kweli lakini ikawa hakuna ushindani sasa wakaamua ku copy EPL mgao uwe sawa ili hawa wadogo waweze kushindana nao hawakupenda lakini ikabidi iwe hivyo. EPL wao wanagawana sawa pesa tofauti inakuja kama mechi zako zimechagulia kuwa live inaongeza pesa juu ya ile mliopata wote na nafasi ya kwenye EPL, EPL hata anayeshuka daraja anaondoka na karibia 100 million na msimu ule atakaocheza champion daraja aliloshuka anapewa 100 million kama parachute kumsaidia mwaka ule. Yanayotokea Spain team mbili kuwaburuza wengine miaka na miaka ni kama huku kwetu pesa nyingi zinaenda kwa wakubwa wawili wengine wanaganga njaa tu.
 
Na naona wamarekani wakiachia izi timu mapema tu baada ya ili anguko.....
 
Hili swala naamini jamaa watakuja kurudi nalo baadae tena.

Kwa sasa imeshindikana.
 
Na naona wamarekani wakiachia izi timu mapema tu baada ya ili anguko.....
Yes wamepigwa dhoruba kali jana wanataka kuleta mfumo wa kwao NBA huko team hazishuki hata ukiwa mbovu.
 
Yes wamepigwa dhoruba kali jana wanataka kuleta mfumo wa kwao NBA huko team hazishuki hata ukiwa mbovu.
Hakuna atakaekubali huu ujinga kila bara libaki na falsafa zake za soka basi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…