TRA wamekua wakitamani sana kufanya mabadiliko na maboresho kwenye huduma zao lakini kuna jambo bado HAWALIFANYII KAZI AU HAWALIJUI. Pia nina mashaka sana na UWEZO wa watu wao wa kitengo cha TEHAMA.
1. Website yao ina mambo mengi sana, inatembelewa na wateja wengu sana. Walitakiwa kuongeza bandwidth ya server zao aidha wanahost kwa kampuni zingine au wana server zao. Dunia ya sasa imebadilika sana lazima ku upgrade kutoka mfumo wa zamani kuingia mfumo wa sasa wenye kasi zaidi.
2. Wanaanzisha vitu vipya kama Apps (huduma mtandao) kabla ya kuzifanyia majaribio ya muda mrefu wao wanaziruhusu mapema mwisho wa siku matatizo yanatokea kipindi huduma zimeanza kutumika. Pia app kuwa nzito au kukosa huduma ni tatizo nililosema hapo juu UWEZO MDOGO WA SERVER ZAO.
3. Zile picha wanazoweka kwenye website zina pixel nyingi (kubwa) zinakula nafasi kubwa kwenye website na kupelekea kuwa taratibu sana wakati wa kutumia.
4. Calculator ya TRA unaweza ifungua siku nzima na isifunguke. Tatizo ni lile lile kuto ku upgrade SERVER zao.
Wanapaswa kujua kila siku wateja wanaongezeka, huduma zinaongezeka wanapswa kuwa wa kisasa na kwenda na speed ya teknolojia.
Sijajua watu wa TEHAMA wa TRA wanafikiria nini kuhusu hili ila tunawaomba WAENDANE NA KASI YA DUNIA YA SASA.
MTATUTESA SANA