Mfumo wa trafiki wa kujua faini ya gari haufanyi kazi?

Mfumo wa trafiki wa kujua faini ya gari haufanyi kazi?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Mfumo wa trafiki wa kujua faini ya gari TMS CHECK haufanyi kazi? maana haufungui hata kidogo kuna shida gani huko?
 
Ni kweli kuanzia Disemba tms.tpf.go.tz haikupi taarifa ya deni la gari.
 
Trafiki wapo wanatafakari zile video.
 
Back
Top Bottom