Uchaguzi 2020 Mfumo wa Uchaguzi Tanzania - mshindi anayepata kura nyingi

Uchaguzi 2020 Mfumo wa Uchaguzi Tanzania - mshindi anayepata kura nyingi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Mfumo wa Uchaguzi Tanzania ni kuwa anayepata Kura nyingi ndiye mshindi. Hii inamaanisha kuwa Rais, Mbunge au Diwani atakayepata kura nyingi ndie atakayetangazwa mshindi. Aidha kuna uwakilishiwa Viti Maalum kwa wabunge na madiwani kwa uwiano wanaopewa wanawake kulingana na kura halali ambazo chama kimepata.

b9bd1b41dade18ceaf17fbc8528c5f1e.jpg
 
Hii miaka 5 iliyopita imemchakaza hadi Rais. Linganisha picha za kampeni 2015 na 2020
images.jpeg
 
Hebu tulia kwanza tumpe Magu miaka mitano tena....

Tume ndiyo inatoa ratiba ya Kuapisha Rais
 
Inapendeza Sana kwa Chama kumiliki magari ya kutosha kwani husaidia na hufanikisha shughuli mbalimbali za kiutendaji.

Hata hivyo ni jambo jema kufanyike uhakiki ili kujua idadi na Uimara wa Magari hayo.

Ni jambo jema zaidi kuhakiki Hati za Magari hayo ili kuweka sawa kumbukumbu na pia kujiridhisha juu ya Umiliki Wake.

Naomba kushauri
 
Back
Top Bottom