Ni kweli tofali hizo zimeonekana kufanya vizuri,kwani mimi mwenyewe nimeshaona baadhi ya majengo tena ni imara beyond tofali za cement.Kinachofanya t ofali hizi zisijulikane kwqa walio wengi ni teknolojia yake ambayo haijazoeleka.HAPA shy kanisa la roman huzalisha tofali hizo
kanisa la roma maeneo ya ngokolo, we ukiuliza tu mradi wa matofali wa askofu balima. vilevile kwa shy mi naona haya matofali yanatumiwa sana na wa2 wenye kipato cha juu na si watu wa hali ya chini. na wasiwasi yatakuwa na gharama za juu, anyway jumatatu coz niko hapa shy ntaulizia details zake kisha ntazibandika hapa jf.