Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,292
- 7,867
Habari ndugu wananchi wa jamhuri ya Ukraine na Urusi.
Nitangaze kuwa Mimi Ni mdau mkubwa wa vipindi vinavyorushwa na startime's channels St Swahili na St Mambo.
Kilichonileta hapa jukwaani Ni kutokana na kile kilichotokea Jana kwenye mchuano wa Mang'endo na Kiredio. Kwenye ule mchuano alieshinda Ni Kiredio but honestly jamaa hakufanya lolote mbele ya mtabe Mang'endo.
Kiredio hakumaliza dk 20 aliiishia njiani na alibakiza kam dk 3:40, hakuchekesha sana na hakuwa na mawe ya maana Kama jamaa Mang'endo aliemaliza muda wote na alitupa mawe ya maana hatari na kiukweli alikitendea haki kifurushi changu.
Ndugu wanabodi mchakato wa upigaji kura unapigwa na washiriki wenzao ambao wapo Kama 16. Sasa unajua kinachofanyika?
Kinachofanyika ni kuwa wale washiriki wanawapigia kura za kubaki wale wenye uwezo wa chini ili wakija kukutana nao mbeleni iwe rahisi kuwashinda.
Naomba kam kunauwezekano huo mfumo ufutwe Bora utumike ule wa BSS ambapo majaji ndo waamue kulingana na vigezo maana haiwezwkani mtu kapigwa K.O kwakutomaliza round atangazwe mshindi. Vile vile watazamaji tupate nafasi ya kupiga kura ili kuwarudisha wababe stejini ambao wanaondolewa kimazabe Kama Mang'endo.
NB Mimi sio Mang'endo Wala Sina undugu nae ila nimeikubali performance yake tu kwakweli.
Naomba StarTimes Tanzania