Mfumo wa Upumuaji wa binadamu na barakoa

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Je, wewe mwenzangu unajiuliza mwisho wa kuvaa barakoa ni lini ?

Mfumo wa upumuaji ni kuvuta Oksijeni na kutoa Carbon dioxide kwa kiwango sahihi .

kwa hakika nimechoka kuvaa barakoa, watu wanaonekana kama vinyago, barakoa inasababisha hewa ya Oksijeni unapata kiasi kidogo sana na unajikuta unavuta tena hewa ya Carbon dioxide
eeeee Mungu baba tusamehe makosa yetu...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…
Sijawahi hata kuigusa hiyo barakaoa naziona tu kwa wengine ndo mkome kuiga vitu vya kizungu.. wenyewe wale ni professional wanajua namna ya kupumulia ndani kwa ndaniπŸ˜‚
 
Chagua barakoa au Kaburini
Nimekuwa nikitumia barakoa kabla ya ujio wa covid-19, wakati nikifagia mabanda au uani. Ulichokisema ni kweli, muda mwingi utajisikia kukosa hewa.

Free air huzunguka, lakini sehemu kati ya barakoa na pua ina chamber ndogo kufanikisha hilo. Kwa bahati mbaya wanasiasa wanaonekana kujua kila kitu. Watu wameagizwa kuvaa barakoa na sasa hata vitambaa vya suruali vinatumika kushona barakoa. Kitakacho tokea baade wataalamu wanajua, hawasemi, wamejiweka kando kuwapisha wanasiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…
Sijawahi hata kuigusa hiyo barakaoa naziona tu kwa wengine ndo mkome kuiga vitu vya kizungu.. wenyewe wale ni professional wanajua namna ya kupumulia ndani kwa ndaniπŸ˜‚
ndugu wewe upo dunia gani kwa sasa au upo pluto😳 😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…