MFUMO WA USAJILI WA WANAFUNZI

MFUMO WA USAJILI WA WANAFUNZI

MPEPE333

Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
31
Reaction score
21
Habari ya wakati huu, ninaomba msaada juu ya kitu kinaitwa mfumo kwenye elimu,nasikiaga tuu usajili ,uhamisho n.k unafanyika kwenye mfumo,huu mfumo upoje? na mbona waalimu wanautumia vibaya kwa kuhamisha hovyo watoto bila ridhaa ya wazazi na watoto? nilipost kuhusu harufu ya ufisadi shule ya msingi Tunduru jamhuri iliyopo tunduru namna mkuu anavyoutumia vibaya huu mfumo kwa kuwatoa watoto ambao wazazi wao hawajalipia gharama ya nauli kwasababu za msingi kabisa,lakini wanakua harassed na watu wanao run huu mfumo. naomba wataalamu mtupatie elimu juu ya huo mfumo ili tujue nini kinaendelea huko mashuleni na kwenye elimu yetu kwa ujumla.
nawasilisha.
 
Kama unaona Elimu ni gharama basi jaribu ujinga. Kwahiyo hutali walipe kama wanadaiwa????? Elimu ni gharama mangi
 
Back
Top Bottom