SoC01 Mfumo wa Utoaji Elimu Ubadilishwe

SoC01 Mfumo wa Utoaji Elimu Ubadilishwe

Stories of Change - 2021 Competition

Rosemary Stephen

New Member
Joined
Oct 22, 2019
Posts
3
Reaction score
5
Moja ya jambo linaloongeza ukosefu wa ajira nchini mwetu ni mfumo mbaya wa utoaji elimu ,ambao unalenga zaidi kuwaandaa wanafunzi kuwa tegemezi kwa serikali na jamii kiujumla.

Kijana anakaa darasani kufundishwa na kupandikiziwa mbegu kuwa ni lazima asome kwa bidii ili aajiriwe awe na pesa.

Mfumo huu umeua vipaji vingi Sana vya vijana wetu ambavyo vingeweza kuwa chanzo kikubwa Sana cha ajira kwa vijana wengine.

Tunahitaji wanafunzi huko mashuleni wafundishwe elimu halisi ya maisha ya kupambania kipaji chake, ya kujituma na ya kutambua fursa.

Tuwafundishe kuweka akiba kwa vitendo na sio kuishia kujifunza kwenye uchumi tu, tuwafundishe ujasiriamali kwa vitendo na sio Kusoma peke yake.

Hakika huu utakuwa msaada mkubwa Sana kwa vijana.

APN511744.jpg
 
Upvote 3
Back
Top Bottom