Mfumo wa wengi wafeli na wachache wafaulu

mahogany

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
252
Reaction score
23
National Examination Council of Tanzania (N.E.C.T.A) MADARAJA MAPYA KWA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE:

Serikali kwa kupitia wizara ya elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani ya kidato cha nne. Hapo awali,
madaraja yalikuwa ni kamaifuatavyo:

A = 81%-100%
B = 61%-80%
C = 41%-60%
D = 21%-40%
F = 0%-20%

Mabadiliko mapya yamefanywa na sasa madaraja MAPYA ni kama ifuatavyo:

A = 80%-100%
B = 65%-79%
C = 50%-64%
D = 35%-49%
F = 0%-34%

Taarifa imetolewa mapema ili wanafunzi kwa kidato cha nne waanze kujiandaa vyema na mitihani ijayo.
 
kwa sasa form 4 ndio inahesabika kama la 7
 

lazima wanafunzi wateendelea kufeli tu, kama madaraja ya kufaulu yalikuwa hyo wanafunzi walifeli sasa je,haya mapya itakuwaje, sindiyo watafaulu 1%
 
hata yakipunguzwa haitasaidia chochote,,kikubwa dunia ya sasa ni ya kitaalam na necta wanapima competence na sio content,,hivyo nawapa pongezi za dhati,,bravo ndalichako
 
Duh ...hapa ngoma nzito,hivi waalimu wenyewe wapo wa kutosha au ndo tuzazidi kuchimbia futi6 elimu yetu
 
Kweli wengi wafeli wachache wafaulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…