Chalii Wa Kipare
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 462
- 907
Nimesikia kuna Mwamba kalamba Uteuzi akiwa Kaburini. Ni siku nyingi wadau tumepiga kelele juu ya huu MFUMO wetu wa kujitawala kwamba umepitwa na wakati na NI WA KIKOLONI, cha kushangaza CCM wanatuona hamnazo. Sasa jana Mungu amewaumbua baada ya Maiti kupewa teuzi😁😁😁.
Rais apunguziwe mamlaka mengine, hapa ndipo unapoona umuhimu wa KATIBA MPYA.
Pia soma Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?
Rais apunguziwe mamlaka mengine, hapa ndipo unapoona umuhimu wa KATIBA MPYA.
Pia soma Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?