Nimesikia kuna Mwamba kalamba Uteuzi akiwa Kaburini. Nisiku nyingi wadau tumepiga kelele juu ya huu MFUMO wetu wa KUJITAWALA kwamba umepitwa na wakati na NIWAKIKOLONI, chakushangaza ccm wanatuona hamnazo. Sasa jana Mungu amewaumbua baada ya Maiti kupewa teuzi๐๐๐. Raisi apunguziwe mamlaka mengine, hapa ndipo unapoona umuhimu wa KATIBA MPYA.