RuwaIkunda
Senior Member
- Nov 2, 2017
- 156
- 279
"Kitu chochote kinachotokea katika maisha yetu ni lazima kianzie kwenye mfumo wa mawazo na baadaye ndo kinajidhihirisha kwenye mfumo wa hisia.
Ubongo kupitia kwenye milango mitano ya fahamu unapokea taarifa na kuzihifadhi ndani ya mfumo wa fikra/mawazo.
Kinachowatofautisha watu ni namna gani tunavyotafsiri taarifa hizi na jinsi zinavyofanyiwa kazi kwa kila mmoja wetu.
Kwa maana nyingine chochote katika dunia hii kipo jinsi kilivyo kutokana na fikra/mtazamo wetu juu ya kitu hicho.
NAWATAKIA SIKU NJEMA[emoji4]