mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Mambo ya kuingia kwenye mifumo bila kujiandaa kunacost sana Taifa,mimi ni mtumishi wizara moja nyeti naomba nikiri kitu kua tunakurupuka mambo mengi sana.Hii swala la ku upgrade kutoka epicor 9 to epicor 10 limesababisha adha kubwa sana kiutendaji,kuna halmshauri haziwezi kulipa kabisa madeni kutokana na complications zilizopo za kimfumo.
Vijana wetu wa Tanzania wangeweza tengeneza mfumo mzuri kabisa na wa kisasa wa malipo kwani nimeona uwezo wa vijana hawa katika wizara kadhaa na zimefanikiwa lakini kuendelea kushikiria haya ya mfumo wa Uingereza unatucost sana labda kwa sababu tunakopa sana fedha zao zinakuja na masharti kua lazima mtumie mfumo wetu wa malipo....na hiizi ni njia nyingine tu za kutengenezea watu ulaji