Mfumuko mkali wa bei waikumba Rwanda

Mfumuko mkali wa bei waikumba Rwanda

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Benki Kuu ya Rwanda imeongeza kiwango cha riba kutoka asilimia 6.5 hadi asilimia 7 kutokana na mfumuko wa bei.

Benki hiyo imesema kwamba kiwango cha mfumuko wa bei kilifikia asilimia 20.7 mwezi Januari.

Maafisa wamesema kwamba hawatarajii mfumuko wa bei kushuka hivi karibuni.

Hata hivyo, wanatarajiwa mfumuko wa bei kupungua hadi asilimia 8 ifikapo mwishoni mwa mwaka.

Wamesema kwamba vita vinavyoendelea Ukraine vimechangia katika kupanda kwa bei za bidhaa.

1676658831519.png

player-spinner.png
 
View attachment 2520825

View attachment 2520823

FpKL8ABWcAANyqU.jpeg
a
 
Hawa ndo wamesema ukweli.
BOT na NBS ziko kisiasa inflation rate yetu ni zaidi ya 6
 
Kwani hiyo 4.9% ni mfumko wa bei ya mahindi na mchele tu au ni rate ya bidhaa zote.
Vitu viwili vinavyoongeza zaidi mfumuko wa bei hapa Tz ni mafuta na chakula. Sasa kama vyakula vyote vimepanda bei zaidi ya 50% na mafuta yamepanda hadi ikalazimika ruzuku kuongezwa how comes inflation rate iwe 4.9%. Hata hutumii akili?

Kuna chakula chochote kimeshuka bei. Nyanya, vitunguu, maembe, mboga, mafuta ya kupikia, sukari, ngano?
 
Huo ndiyo ule ujanja ujanja kwenye uendeshaji wa serikali:

FolQpVRaEAEb4UX.jpeg

Tukisikia viapo kukisisituzwa kulindwa kwa siri zote za serikali, za kiafrika ndiyo sasa tuwe tunaelewa.
 
Benki Kuu ya Rwanda imeongeza kiwango cha riba kutoka asilimia 6.5 hadi asilimia 7 kutokana na mfumuko wa bei.

Benki hiyo imesema kwamba kiwango cha mfumuko wa bei kilifikia asilimia 20.7 mwezi Januari.

Maafisa wamesema kwamba hawatarajii mfumuko wa bei kushuka hivi karibuni.

Hata hivyo, wanatarajiwa mfumuko wa bei kupungua hadi asilimia 8 ifikapo mwishoni mwa mwaka.

Wamesema kwamba vita vinavyoendelea Ukraine vimechangia katika kupanda kwa bei za bidhaa.

View attachment 2520825

View attachment 2520823
Uchumi wa Rwanda unaporomoka. Vyuo vyote vimefungwa Kwa kushindwa kumlipa mikopo ya wanafunzi.
 
Vitu viwili vinavyoongeza zaidi mfumuko wa bei hapa Tz ni mafuta na chakula. Sasa kama vyakula vyote vimepanda bei zaidi ya 50% na mafuta yamepanda hadi ikalazimika ruzuku kuongezwa how comes inflation rate iwe 4.9%. Hata hutumii akili?

Kuna chakula chochote kimeshuka bei. Nyanya, vitunguu, maembe, mboga, mafuta ya kupikia, sukari, ngano?
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukiondoa mahindi,mchele na maharage,bidhaa zingine za chakula zinauzwa kawaida tu kwa ongezeko 0.5 tu.Mfano mafuta ya alizeti ni Tsh 5400 -6000 kwa lita,bei ambayo imebaki hivyo kwa miaka mitatu sasa.Sukari imebaki katika bei ya Tsh2500 -2800 kwa miaka mitatu sasa.Umesema eti na nyanya na vitunguu![emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna ongezeko lolote katika bidhaa hizo,nyanya fungu bado linauzwa kwa bei ya Tsh500 na vitunguu bei ni hiyo hiyo Tsh500 kwa fungu.
Ukija katika upande wa nyama,bei inaongezeko la 1% - 2% tu.Kilo moja ya nyama ni kati ya Tsh7500 - 9000.
Ebu tuachaneni na siasa za kijinga tujikite kwenye uhalisia.
 
Kwani lazima tujue wewe ni mjinga!?
epusha ukoo wako na aibu ndogo ndogo
 
Back
Top Bottom