Mfumuko wa bei kabla ya bajeti

Deofm

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
383
Reaction score
68
Wadau hali kwa sasa inatisha sana, Nimelazimika kuacha kunywa bia, soda na juyce kutokana na bei zake kupanda ghafla kabla hata mshahara haujabadilika. Hata maji inabidi nichemshe haya yakawaida kwani kunywa maji ya chupa ni anasa. hebu fikiria mshahara sh. 300,000/= kwa mwezi, wastani wa msimbazi kwa siku. bajeti yake ni lazima ukune kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…