Naombea sana hili likuje kwa kasi ya juu kabisa, ili machawa na vichwa maji vya maccm labda yatazinduka
Sisi wazalendo tunapoamua kukataa uhuni wa viongozi wa CCM na kuikataa CCM, siyo kwamba hatuna akili na siyo kwamba tunachuki nao
Bali ni ukweli kwamba, CCM imewakusudia maisha mabaya saana Watanzania
Shida zoote wanazopitia Watanzania, ni akili duni za viongozi wa CCM