Mfumuko wa bei kwa sasa imefikia asilimia ngapi

Mfumuko wa bei kwa sasa imefikia asilimia ngapi

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Kwa siku za karibuni kila kitu kimepanda ukianzia vyakula, vifaa vya ujenzi, mafuta n.k. Nawauliza Ofisi ya Takwimu kwa sasa mfumuko wa bei bado ni single digit au double digit?
 
wanakuja ila niliponunua litabya mafuta ya kula elf 7 nilichoka
 
Kiuchumi ni sawa na inapaswa kuwa hivyo

Kabla ya March,2021 Uwekezaji ulikuwa umeanguka, ma bank hayana deposit za kukopesha, wenye fedha zao wameporwa bank. Na mazingira kadhaa ambayo hayakuwa Rafiki ikwemo kuacha mabulungutu BOT yanapigwa AC badala ya kuruhusu yatumiwe na commercial banks kuzungusha

Alipoingia Rais Samia akaja na utaratibu wa kurudisha fedha kwny Mzunguko

Ukiongeza fedha kwny mzunguko biashara zinachangamka na vitu kupanda bei kwa kuwa watu wanakuwa wana fedha lakin supply ya vitu haijaongezeka ndan ya muda mfupi hivyi kanuni ya Price Mechanism inaakisi lazima bei ipande na bei zikipanda zinavutia uwelezaji utakaokuza ajira baadae
Kwa siku za karibuni kila kitu kimepanda ukianzia vyakula, vifaa vya ujenzi, mafuta n.k. Nawauliza Ofisi ya Takwimu kwa sasa mfumuko wa bei bado ni single digit au double digit?
 
Kwa siku za karibuni kila kitu kimepanda ukianzia vyakula, vifaa vya ujenzi, mafuta n.k. Nawauliza Ofisi ya Takwimu kwa sasa mfumuko wa bei bado ni single digit au double digit?
JamiiForums-154929259.jpg
 
"Necessity is the mother of invention" Uhitaji (umuhimu) ni mama wa uvumbuzi.

Kupanda (mfumuko wa bei) kwa bei za bidhaa inatubidi wadau wa ujenzi tubuni mbinu mpya za kupunguza gharama za ujenzi bila kuathiri ubora (quality and standards). Hapa darasa la ujenzi la waja wema, tumebuni aina ya ujenzi wa ngazi za kipekee, zenye kukidi viwango na kupitiliza viwango na zenye ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu. Bofya link ujionee: Darasa la ujenzi la Madrassatul Abraar latunukiwa Tuzo ya ubunifu wa ujenzi kutoka Shirika la Uingereza.
 
Back
Top Bottom