Mfumuko wa bei washuka huku uchumi ukiendelea kuimarika kwa kasi ya ndege vita

Mleta mada anakichaa Cha mbwa.inatakiwa aende milembe akatibiwe
 
inaonekana huo mfumuko wa bei ulioshuka ni wa kununua V8
 
Bei ya nyama imepanda toka 7,000 mpaka 10,000 hiyo ni asilimia ngapi. Eti uchumi unaimarika.
Hivi huyu jamaa anajua alichokiandika kweli! ole wako vidole vyangu unatamani uhandike kitu ila ngoja nitafute maji nitulize hasira serikali ya ovyo sana hii
 
Uko Tanzania ya wapi? Za kuambiws na ufipa changanya na zako 😂😂👇👇

View: https://x.com/BankOfTanzania/status/1867472805081887169?t=z21XUEAXYGgxsecblErjoQ&s=19
 
Ugali na mboga mboga pamoja na maharage, dagaa unakula kwa gharama ya, 1,000 yaani buku

Angalizo kama hakuna hela ya kununua hivyo vitu bei kazima itashuka, someni kuhusu, " price skimming" mtanishukuru kuelewa somo
Vile vile kupata mahesabu kujua kila mtanzania ana hela kiasi gani hawaangalii hela alizo nazo Jackson na Jimmy mfukoni, bali hela zilizoko kwenye mabenki gawanya kwa idadi ya watu waliopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…