Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
Unakuta mtu uko city centre kulingana na ubora wa nyumba yako anatokea mpangaji anakwambia sijui mbona kwa OMARY anapangisha chumba 50000 na vina umeme na maji wewe tu ndo unapangisha 60000.
kwa OMARY kwenyewe
ndo hapo👆
alafu uje kwa ABDALAH 👇
utake kupanga kwa bei hiyohiyo,,,,,.
kwa mfumuko wa bei za vifaa vya ujenzi mtambue na nyie mabadiriko ya kodi yata tofautiana hakuna cha kwa CHIKU wala kwa MUSA.
NB: majina sio halisi.
kwa OMARY kwenyewe
alafu uje kwa ABDALAH 👇
kwa mfumuko wa bei za vifaa vya ujenzi mtambue na nyie mabadiriko ya kodi yata tofautiana hakuna cha kwa CHIKU wala kwa MUSA.
NB: majina sio halisi.