[emoji3516]unakuta mtu uko city centre kulingana na ubora wa nyumba yako anatokea mpangaji anakwambia sijui mbona kwa OMARY anapangisha chumba 50000 na vina umeme na maji wewe tu ndo unapangisha 60000.
kwa OMARY kwenyewe View attachment 2116072ndo hapo[emoji115]
alafu uje kwa ABDALAH [emoji116]View attachment 2116074utake kupanga kwa bei hiyohiyo,,,,,.
kwa mfumuko wa bei za vifaa vya ujenzi mtambue na nyie mabadiriko ya kodi yata tofautiana hakuna cha kwa CHIKU wala kwa MUSA.
NB: majina sio halisi.
[emoji3516]sawa nyie wapangaji ikifikaga swala la vitu km hivi mnawekaga pamba masikioni kuilalamikia serikali ngoja usikie ya sabaya au ndugai mnavokuwaga View attachment 2116090