Mfumuko wa bei za vyakula katika msimu wa mfungo wa ramadhani

kisengop

New Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Habari wana jamii forum..... Napenda kuuliza, hivi huu mfumuko wa bei za vyakula katika kipind cha mfungo wa ramadhani uwa unasababishwa na nini?? Je kuna sabbmab zozote za kiuchumi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…