Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Mfundishe mwanao majukumu yale ambayo yatakuwa faida kwenye maisha yenu na yake ya baadaye kwasababu huyo ni mume au mke wa mtu wa baadaye pia ni mwanafamilia wako
Mama/baba mfundishe kijana wako wa kiume swala la kuosha vyombo, kupika na kufua nguo si swala la mwanamke na huyo binti yako pia swala la kuwa na dada wa kazi isiwe sababu ya ya yeye kutofanya kazi zile zinazomtengeneza kuwa mtoto wa kike na mke na mama hapo baadaye. Mfundeshe yale yote mema hata kwa fimbo pale itakapokulazimu hiyo ni kwa fai
Mfundishe mwanao awe anasalimia wadogo kwa wakubwa na kushukru kila anapopewa kitu au baada ya kula amshukru mzazi. Amshukru aliyeandaa chakula na atoe vyombo meza
Mfundishe mwanao kuwa wageni au jamaa mnaokaa nao hapo nyumbani asiwadharau kwa namna yoyote ile bali awaheshimu sana watakapomkanya kwa namna ya kumfun
Rafiki yangu mwema usimkingie kifua mtoto anapomkosea mtu mzima kuwa hapaswi kumwajibisha bila idhini yako. Kesho ni fumbo maisha yanaweza yasiwe kama yalivyo leo akalazimika kwenda kulelewa na watu wengi
Mfundishe mwanao kuhusu utamaduni, imani na asili yenu hata kujua kusamilia kilugha si ushamba ila nikumfanya mtoto ajue yeye ni nani kiutamaduni na kabila lake ni wapi kw
Mfundishe mwanao mambo mema utamaniyo aje ayaishi katika maisha yake ya sasa na yale ya mbeleni akiwa kwa watu au amejitegemea.