southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 906
- 1,109
Huduma ya bure?Funga alarm kwa ulinzi wa gari yako na pia kuepusha kufungua fungua vitasa na funguo maana remote zinauwezo wa kufungua na kufunga kwa umbali wa mita 50 hadi 100 karibu tukuhudumie Piga 0625927098-Dodoma
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile
Bei ni rafiki na ni maelewano na mteja baada ya kazi kuisha ,Pia kwa wateja wangu wa kilasiku baadhi ya huduma nawafanyia bure kabisaHuduma ya bure?
Bei nitakufanyia 30,000/= mkuu karibu nikuhudumie(Alarm utaleta mwenyewe unayoipenda au utaagiza nikuletee mwenyewe )Taja Bei zako nione Kama hii Corolla yangu naweza kuifanya tishio kwa wezi wa kijiji
Ni kweli kabisaYaani nikimuona mtu anafungua gari kama anafungua nyumba hata kama ana hilo gari namuona tofauti sana.
Gari fungua kwa remote wewe..