Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
-
- #41
Una retired officer nini?Ndio maaanaa kumbeee.............
Hapana kabisa nishaona watu wa hivyo hawana huruma ,upendo na kadhalika wanajiona wao wapo sahihi sanaUna retired officer nini?
Yaani makauzu balaaHapana kabisa nishaona watu wa hivyo hawana huruma ,upendo na kadhalika wanajiona wao wapo sahihi sana
Mkuu.....Ogopa sana mwanaume divorced
Hawana huruma
Sio kila Mzee ana busara!