G gwego1 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2023 Posts 265 Reaction score 897 Jul 10, 2024 #1 Wasaalam. Tangia nipewe hii elimu ya kuweka mfupa kwenye Kona za nyumbani kwangu!. Ile Hali ya kukabwa usiku na wachawi(majinamizi) imeisha kwakweli. Nawasilisha.
Wasaalam. Tangia nipewe hii elimu ya kuweka mfupa kwenye Kona za nyumbani kwangu!. Ile Hali ya kukabwa usiku na wachawi(majinamizi) imeisha kwakweli. Nawasilisha.
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 3,436 Reaction score 7,955 Jul 10, 2024 #2 tueleze unafanya aje
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,863 Reaction score 20,806 Jul 10, 2024 #3 gwego1 said: Wasaalam. Tangia nipewe hii elimu ya kuweka mfupa kwenye Kona za nyumbani kwangu!. Ile Hali ya kukabwa usiku na wachawi(majinamizi) imeisha kwakweli. Nawasilisha. Click to expand... Kulikua hakuna haja ya hayo!kama we ni good prayer man!
gwego1 said: Wasaalam. Tangia nipewe hii elimu ya kuweka mfupa kwenye Kona za nyumbani kwangu!. Ile Hali ya kukabwa usiku na wachawi(majinamizi) imeisha kwakweli. Nawasilisha. Click to expand... Kulikua hakuna haja ya hayo!kama we ni good prayer man!