Mgahawa unapangishwa Sinza

Hili Tangazo lipo kibabe sana kana kwamba hilo eneo linajulikana sana na Lina demand kubwa sana. Weka picha na location
 
Kwaiyo picha mpaka tukutafute kwa namba ya simu, basi na wewe ungetuma tangazo lako kwenye namba zetu za simu......... au ndio ''iyo hela tuma kwa namba hiii''
 
Mm nalipa milioni 2 kwa mwezi,nipe namba ya kutuma na kutolea nilipe Kodi ya mwaka mmoja.
Nimependa bati la huo mgahawa wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…