Mgamba JKT vs SIMBA SC. leo tarehe 16/09/2015

Kiiza anadaiwa goli 8 sasa, wakati akina Hajibu, Mgosi, Ndaw na wengine wakiendelea kudaiwa goli 10 kila mmoja.
 
Point 6 Mkwakwani kati ya point 6! Dalili nzuri za msimu, huu uwanja unatusumbuaga sana! Dawa ya toto africa iko jikoni na imeiva! Kanda ya ziwa tunabeba point zote tisa!
 
Point 6 Mkwakwani kati ya point 6! Dalili nzuri za msimu, huu uwanja unatusumbuaga sana! Dawa ya toto africa iko jikoni na imeiva! Kanda ya ziwa tunabeba point zote tisa!

Tumebakiza kazi mbili tu, kuwatuliza Toto na timu za Mbeya ili tutangaze ubingwa mapema sana.
 
Hii speed ya Kiiza itatufanya tutembee kifungu wazi mbele.
 
Safi sana Mnyama, Safi sana Kiiza so far unastahili kuwa ndani ya kikosi cha simba endeleza speed hiyo ya kucheka na nyavu
 
Point 6 Mkwakwani kati ya point 6! Dalili nzuri za msimu, huu uwanja unatusumbuaga sana! Dawa ya toto africa iko jikoni na imeiva! Kanda ya ziwa tunabeba point zote tisa!
Mkwakwani bado mechi moja, Kanda ya Ziwa kuna mechi nne; Toto, Kagera Sugar, Stand United na Mwadui. Msimu huu mgumu lakini naona tumeanza vizuri.
 
Hii speed ya Kiiza itatufanya tutembee kifungu wazi mbele.

Nilichogundua, Kiiza a.k.a Aguero alikua kahifadhi silaha zake.. sasa kaamua kuziweka hadhalani.. Mwaka huu ni burudani tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…