Mgambo JKT mlikosea, badilikeni mambo yaende.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Mgambo JKT ni timu ya Handeni, Tanga lakini watu wa Handeni hawashirikishwi kwenye timu yao.
Kuanzia sasa kwa kushirikiana na uongozi wa Wilaya ya Handeni hakikisheni kuwa mechi zote za nyumbani za Mgambo JKT zinachezewa Handeni mjini sio Mkwakwani kama mlivyofanya. Mizimu ya ardhi ya Wazigua imegoma kuwasaidia.

Mbona Mtibwa Sugar inachezea Manungu kwenye mashamba yao ya miwa?
 
Handeni kuna uwanja gani wa kufaa kucheza VPL?
 
Handeni kuna uwanja gani wa kufaa kucheza VPL?
Kama ule wa Manungu na Mwadui hata Handeni upo, na kama uongozi wa Handeni ungeshirikishwa wangeweza kuuboresha zaidi, maana hata wa Mkwakwani na Kagera Sugar ulifanya kuboreshwa hivi karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…