King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Haina madhara yoyote kwa mwanaume kwa upande wa dushelele. na hakuna kinachoingia ndani ya dushelele kwa nafasi ipi kwanza mpaka iingie...ila haileti picha nzuri (kinyaa) kitu kimeingia safi kinatoka chafu...
Ok asantee kwa ufafanuzi.
pole kaka mshauri shemeji pia awe anakufanyia usafi huko kwa bibi mara kwa mara asitumie sabuni detol ya maji ni nzuri zaidi na maji ya uvugu vugu kwa pia muulize alishawahi kutumia shabu ?
nenda hospital. sababu ni nyingi za utoko. labda hata haumwi bali hajisafishi vizuri. vipimo ni bora kabla ya dawa. unabania elfu 15000 na unalipia i-net. sikuoni kama mtu wa kushindwa lipa hela hiyo kwa afya yako na mkeo.ok inatakiwa dose gani wakuu?maana hospital siku hizi ni biashara kumuona doctor elfu 10 kufungua file elf 5 so nikimaliza humu humu itakuwa mzuka maana hiyo elfu 15 itafaa kununua full dose
"majimaji meupe toka ukeni, yasiyo na harufu nzuri".
As an International Consultant, that costs you $ 750.
wote tunatoa huo utoko,lakini hausmell........
Pole na hongera kwa kumjali mwenzio,
Ila pamoja na kumwona Dr.awe anasafisha mashine mara kwa mara anaweza pia kutumia maji ya kawaida kamulia ndimu ajisafishe harufu itapotea na patakua na mnato wenye mvuto.:lol:
King Kong III said:Neno lako mara ya mwisho nilisikia kama miaka 18 iliyopita!