MGANGA Abambwa Akimroga Mwanamuziki Darassa

Mtoa mada inaonesha unapenda sana ushirikina na kuumini sana!!!
Siku darasa alipo pata ajari ulikuja ukasema kuwa WCB wamemloga, na leo ndio umeleta makala ndefuuu ya uchawi
 
Hivi nani kasoma hayo maandishi mwanzo mwisho?
 
yaani mtu anaendekeza ulevi halafu anasema alitaka kurogwa
 
 
wakiota mapembe waongezee mkia!
 
Ingekuwa rahisi hivyo hayo mambo, angerogwa Bakhresa au Mengi,Darassa ame fluke tu,mpaka June 2017,atakuwa hana tofauti na Timbulo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ingekuwa rahisi hivyo hayo mambo, angerogwa Bakhresa au Mengi,Darassa ame fluke tu,mpaka June 2017,atakuwa hana tofauti na Timbulo
Na Huo Ndio Ukweli Mchungu. Upepo Tu Umempitia
 
Huyu mganga atakuwa katumwa na Diamond tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…