Mganga arejeshe pesa alizopewa

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Haiwezekani damu imetolewa na pia uhai umetoka lakini ameshindwa kutupeleka mbele.
Your browser is not able to display this video.
 
ahahahahahhahaha ndo ujue zali haliendi kwa ndumba
 
Makafala kibao na bado mikia hawaendi popote?inauma sana
 
Uto na akili zenu Za kuamini uganga mnazijua nyinyi. Mpira umechezwa kimbinu, tumeshuhudia, na tumekubali matokeo.
 
Uto na akili zenu Za kuamini uganga mnazijua nyinyi. Mpira umechezwa kimbinu, tumeshuhudia, na tumekubali matokeo.
Mbinu ipi iliyotumika? Watu wamevujishana damu uwanjani
 
Kazi imefanyika waliofatilia mpira wamekubali Simba ni mshindi aliyepambana kiume lakini akatolewa.
 
Uchawi kuzidiana...

Wenzeni wamechinja nga'mia nyie mnaenda kuchinja kuku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…