LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Nikiri wazi kwamba wapo waganga wanao Fanya tendo la.ndoa na wateja wao kwa sababu ya tamaa tu na wapo ambao ni mwiko kabisa kufanya tendo la ndoa na wateja wao kwa sababu MTU akisha kuwa mteja kilingeni anakuwa mtoto wa kiroho wa majini / mizimu wanao kiendesha kilinge husika. Sasa mganga akifanya mapenzi na.mteja wake inakuwa ni sawa sawa amefanya mapenzi na.Dada yake au binti yake na athari yake huwa ni uganga kufa ..
Back to my topic wapo waganga ambao hufanya tendo la ndoa na wateja wao kama sehemu ya tiba. Tiba hii huwa na nguvu sana na Mara nyingi huwa ni tiba ya kisailolojia zaidi.
Lengo la tiba hii ni kumfanya mwanamke ajihisi yuko " spiritually protected "
Hii Mara nyingi hufanyika kwa mwanamke ambae anajihisi yupo kwenye hatari dhidi ya maisha yake, Mali zake au nafasi yake.
Kwa Mfano mwanamke ameingia katika mgogoro na MTU mwenye historia ya kuua wagomvi wake kwa uchawi. Mwanamke huyo anapata taarifa za uwepo wa mganga mwenye nguvu kubwa sana.Mganga huyu akimtaka kimapenzi mwanamke huyu hatoweza kukataa kwa sababu atakuwa na uhakika wa kupata ulinzi wa kiroho kutoka kwa bwana mganga huyo.
Hapo mwanamke atakuwa ana uhakika kwamba " mganga huyu atanilinda sio kama mteja wake Bali kama mpenzi wake "
So sometimes waganga hutumia mbinu hii kama.tiba ya kisaikolojia.
Mfano wake ni kama.wale Malaya wakorofi unao kutanaga nao club za usiku ..Wanakuwaga na jeuri kwa sababu huwa wanagongwa na mateja na vibaka wa eneo hilo.
Amini usimiani kama mkeo anakufanyia jeuri ..uwezekano mkubwa ni kwa sababu anavuliwa pichu na.mganga Fulani hivi