Mganga Mkuu wa Wilaya Meatu, Mahela Godfrey Njile aamua kutoa Elimu ya kipindupindu Kwa lugha ya KISUKUMA

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Amewasisitiza wajenge vyoo, waoge, wafue nguo, wasafishe mazingira ya nyumbani ndani ya nyumba na nje ya nyumba, wawe wasafi ili kipindupindu kisiwamalize
 
Sawa Sawa
Meatu Nako Kuna Changamoto Ya Maji
 
Sawa Sawa
Meatu Nako Kuna Changamoto Ya Maji
Maji meatu ni shida kubwa, mikoa ya singida, simiyu, shinyanga, maeneo baadhi ya geita, lindi, mtwara, dodoma, hiyo mikoa yote maji ni tatizo sugu, tofauti na ukiwa Iringa, Ruvuma, Arusha, Mara, Kigoma, Manyara, Njombe, Katavi, Rukwa, Songwe, Kagera, Morogoro japo nako shida ya maji ipo lakini sio ukame wa kutisha kivile,
 
Kwa ufupi kwa Tanzania household nyingi ni wachafu, angalia sample ya mazingira ya migahawa ya akina mama ntilie ni wachafu kupita maelezo, daktari pale juu kaeleza watu waoge na wasafishe vinywa, sio bahati mbaya watu ni wachafu kuliko maelezo, mkoa pekee ambao walau mazingira ya nyumbani wanajali usafi ni Kilimanjaro wanajitahidi mno utakuta walau wamefagia mazingira yao
 
Back
Top Bottom