Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Hapo atakua anatumia misamiati Kama OLE MWAMI MTALE OLI SATASATA BEBESHI NENE LE USAFI NENESHI πMganga Mkuu Halmashauri Ya Wilaya Meatu , Mahela Godfrey Njile akitoa Elimu ya kipindupindu Kwa lugha ya KISUKUMA katika kata ya Mbugayabang'hya.
Sawa SawaAmewasisitiza wajenge vyoo, waoge, wafue nguo, wasafishe mazingira ya nyumbani ndani ya nyumba na nje ya nyumba, wawe wasafi ili kipindupindu kisiwamalize
Maji meatu ni shida kubwa, mikoa ya singida, simiyu, shinyanga, maeneo baadhi ya geita, lindi, mtwara, dodoma, hiyo mikoa yote maji ni tatizo sugu, tofauti na ukiwa Iringa, Ruvuma, Arusha, Mara, Kigoma, Manyara, Njombe, Katavi, Rukwa, Songwe, Kagera, Morogoro japo nako shida ya maji ipo lakini sio ukame wa kutisha kivile,Sawa Sawa
Meatu Nako Kuna Changamoto Ya Maji
Sawa SawaKwa ufupi kwa Tanzania household nyingi ni wachafu, angalia sample ya mazingira ya migahawa ya akina mama ntilie ni wachafu kupita maelezo, daktari pale juu kaeleza watu waoge na wasafishe vinywa, sio bahati mbaya watu ni wachafu kuliko maelezo, mkoa pekee ambao walau mazingira ya nyumbani wanajali usafi ni Kilimanjaro wanajitahidi mno utakuta walau wamefagia mazingira yao